Burudani

RECAP: Harmonize amkejeli Diamond kupitia kauli ya Babalevo – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia mtifuano uliopo mitandaoni kati ya Harmonize na Baba levo kumkejeli kuita

Ndege aliyokodi Aviator.

Anasema kauli ya Harmonize jana kuwa Sasa hivi ushindani umehamia kwenye nani anakodi Ndege kubwa na sio muziki tena kwa sababu wanajua nani anaweza kuimba Kiingereza Tanzania ilimlenga Diamond.

Harmonize anaamini Baba levo anatumwa na Diamond na ndio maana kauli yake ilimlenga Diamond na sio Baba levo, anaamini Baba levo anamdhihaki kisa Diamond.

Anasema Baba levo anamkejeli Harmonize lakini anajua fika hata Diamond anazitumia sana Ndege za vile na sio dhambi kuiga.

Harmonize ndio anajitafuta kwa sasa na ameanza ku-set Standard yake ambayo hata Diamond alianzia huku huku anapoanzia Harmonize.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

Cameraman @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents