Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMuziki

RECAP: Harmonize anamaliza mwaka vizuri (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma ijayo ya Harmonize ambayo alionjesha kionjo siku ya jana.

Anasema kuwa kupitia kionjo kile ndio kinadhihirisha umahiri wa Harmonize linapokuja suala la Uandishi wa nyimbo.

Kwa sasa Harmonize anaijua game ya Bongo Fleva nje ndani na anajua wakati gani sahihi wa kuachia nyimbo, ni miongoni mwa wasanii waliojaliwa utajiri wa Melody na ndio maana anaweza kuimba aina yoyote ila ya muziki.

@el_mando_tz anaongeza kuwa, wakati mwaka 2024 unaanza Harmonize hakuuanza vizuri maana aliachia album ambayo ilibuma lakini alipogundua lile aliamua kuwa Serious.

Mfululizo wa ngoma za Harmonize zinakupa ishara namna alivyoamua kuumaliza mwaka vizuri, ameanza na Away na Mario, Dissconect, Sensema na Rayvanny, Ujana, You Better Go na zingine.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents