RECAP: Harmonize kukejeli Show ya Diamond Tarime Roho mbaya – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameendelea kuzungumzia yanayoendelea mitandao kati ya Harmonize na Diamond.
Anasema Harmonize kukejeli Show ya Diamond Tarime na kuita Chaka tu Chaka anataka kuiaminisha Jamii kuwa hata Diamond anafanya Chaka Tu chaka maana kafulia.
Anaongeza kuwa Harmonize anatakiwa kujicheka mwenyewe kukejeli Show ya msanii ambaye akitoka hapo anaenda kufanya Show nne Mpaka tano Ulaya na Marekani tena kubwa.
Msanii ambaye anaalikwa kufanya Show SAMMER JAM, ana Show katika Tamasha huko Paris, ana Show London na Manchester wakati wewe huna hata moja na unatamani kupata Show kama zile nguvu za kumcheka unazitoa wapi??
Harmonize anatakiwa kujilejeli mwenyewe kukosa Shows kubwa, kumkejeli Diamond kisa Ibraah ni kuonyesha Roho mbaya.
Kitu ambacho Diamond hakukosea kumsapoti Ibraah ila yeye kakasirika huenda anataka kuona Ibraah hana msaada wowote, labda anataka watu wote wawe upande wake.
Uchambuzi mzima Upo Katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa