Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

RECAP: Harmonize kumuomba msamaha Diamond anashusha Brand yake – El mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Inshu ya Harmonize kumuomba Diamond Msamaha.

Anasema hii ni mara ya pili Harmonize anamuomba Diamond msamaha na wala Diamond huwa hamjibu anakaa zake kimya.

Anaongeza kwa ukubwa wa Harmonize kwa sasa Sorry kwa Diamond zimekuwa nyingi sana na cha kushangaza Diamond hamjibu amekaa kimya.

Maana yake ni kwamba Harmonize anajishushia Brand yake bila kujua, watu wataanza kuamini anatafuta kiki kupitia Diamond.

Inawezekana hata Diamond hajibu kwa sababu anajua akimjibu itakuwa story kubwa sana.

Na Tofauti zao zilishaisha sasa kwanini aombe msamaha tena?? Au Diamond hajamsehe ile mara ya kwanza??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents