RECAP: Harmonize kuwa na roho mbaya thamani inapanda – El Mando
Kupitia kwenye kipindi chale cha RECAP & MANDO ( @recap_mando)@el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Meja Kunta aliyomshirikisha Harmonize JINA.
Anasema kwa sasa Harmonize amekuwa Cheep sana kwa kugawa Collabo karibia kwa kila msanii halafu Collabo zenyewe haziwezi kumsaidia chochote.
Anasema kwa ukubwa wa Harmonize ifike wakati awe na roho mbaya kwenye kugawa Collabo, Sio kila mtu wako wa karibu awe na collabo na wewe.
Anaongeza Harmonize inabidi awaige wasanii wakubwa
Afrika na Duniani kote, sio rahisi kuwapata kwenye Collabo na ndio kitu mojawapo kinawafanya waendelee kuwa wakubwa.
Ukigawa sana Collabo utaonekana wakawaid amaana ni rahisi kukupata utazoeleka pia.
Project yake na Rude Boy ya BEST COUPLE ilitakiwa ipewe nafasi kubwa zaidi hata kwenye PROMO, chakushangaza Ameanza kupost PROMO za JINA badala ya BEAT COUPLE
Collabo ambayo ina faida kwake.
Collabo na Meja Kunta haina faida kwa Harmonize bali inamkuza Meja Kunta.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @johnbosco_mbanga






