AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy
RECAP: Harmonize na Abby Chams wajifananisha kama Jay Z na Beyonce (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kauli ya Harmonize kuwa ataileta tuzo ya GRAMMY AFRIKA MASHARIKI.
Anasema Harmonize anajiamini sana na ameweka wazi hizi tuzo za jana ndio za mwisho yeye kutoshiriki maana yake mwakani Harmonize ameahidi kushiriki tuzo za GRAMMY.
Anasema maneno huumba, alianza kuimba yeye ni msanii namba moja lakini kwa ukweli kwenye kizazi hili Ameanza kutimiza ahadi zake amefika level hiyo.
Yeye na mpenzi wake Abby Chams wamejifananisha kama Jay Z na Beyonce na kuaminisha ataileta Tuzo ya GRAMMY BONGO.
Unakubaliana na Harmonize kuwa atakuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kueta Tuzo ya GRAMMY??