Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMuziki

RECAP: Harmonize ni mwandishi bora wa nyimbo TZ (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia video ya Harmonize ya SHEREHE aliyoitoa siku ya jana.

Anasema kuwa Video ya Sherehe itakuwa miongoni mwa video bora kwa mwaka 2024 kwenye kiwanda cha Bongo Fleva na huenda ikashinda baadhi ya Tuzo ndani hata nje ya nchini.

Anaongeza kuwa Harmonize ameamua kuwekeza kwenye video basi afanye Promo ya wimbo na video yake maana ni video kubwa sana.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents