AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RECAP: Harmonnize na Marioo wana nafasi ya kufanya vizuri Kimataifa 2025 – El mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna ukuaji wa muziki wa Bongo Fleva ulivyo kwa mwaka 2024.

Anasema kuwa kuna namna mabadiliko yameanza kuonekana hasa mashabiki kupenda muziki mzuri tofauti na zamani kushabikia baadhi ya wasanii.

Mwaka 2025 inawezekana ukawa mwaka mzuri sana kwa Marioo na Harmonize upande wa Kimataifa.

Album ya Marioo itamfungulia milango Kimataifa lakini Harmonize hakuwa na mwaka mzuri sana 2024 maana yake 2025 lazima ataongeza juhudi kubwa sana kuupeleka muziki wake mbali zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents