Burudani

RECAP: Hata mkiniita Chawa huu ndio ukweli kuhusu Diamond – El Mando

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amezungumza jinsi msanii @diamondplatnumz alivyotumika kuwainua wasanii mbalimbali wakubwa kwa sasa Afrika, ametoa maoni yake juu ya msanii @diamondplatnumz na safari yake ya muziki pamoja na mastaa wengine Afrika.

Je, unakubaliana na mtazamo wa @el_mando_tz juu ya Diamond Platnumz??

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents