Burudani
RECAP: Ishowspeed aliulizia vivutio vya Tanzania lakini hajafika – El Mando

Unapozungumzia utalii Afrika Tanzania inawezekana likawa ni jina la kwanza.
@el_mando_tz ndani ya #Recap anaelezea kuhusu @ishowspeed kuzungumzia baadhi ya vitu ambavyo vinapatikana Tanzania lakini kwa bahati mbaya ameshindwa kufika






