Burudani
RECAP: Jux aifunika Harusi ya Davido – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tena Harusi ya Jux na mke wake Priscilla mpaka kupostiwa The Shaderoom.
Anasema kuwa Wanigeria wamekubali kuwa haijawahi kutoka Harusi iliyo-trend zaidi duniani kama harusi ya Jux na Priscy.
Wanasema kuwa kuanzia mpangilio, Mavazi/Fashion/tamaduni zilizoonyeshwa pale lakini pia Baraka ya kukubalika duniani mbele ya macho ya watu.
Anasema kuwa kwa namna harusi hii iliyotrend duniani lazima picha zao zitumike kwenye majarida makubwa duniani zilibeba Covers.
Anasema laiti tukio hili lingefanyika Tanzania lisingetrend kama ilivyotokea.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa