Burudani

RECAP: Jux thamani yake imepanda zaidi – El Mando

upitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia namna msanii Juma Jux anavyopandisha Thamani yake kimuziki.

Anasema kitendo cha kukodishiwa Private Jet kwenye kwenye Show ya Kifahari Nairobi Kenya kina faida kubwa sana kwenye Career yake ya muziki.

Thani ya msanii haipandi tu kwa kutoa nyimbo bali inapanda pia kwa Lifestyle ya msanii husika, Jux Lifestyle yake ina Impact kubwa sana kwenye muziki wake.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman @mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents