Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
RECAP: Komasava ya Diamond video bora Afrika (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameuzungumzia video mpya ya Diamond Komasava.
Anasema kuwa Video ya Komasava imekuja kutoa fundisho namna ya uwekezaji unavyotakiwa kuwa kwenye nyimbo.
Diamond ametoa video bora ya muda wote Tanzania na Afrika kwa ujumla.