AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy
RECAP: Kwanini Diamond hapeleki msanii wa WCB Kimataifa??

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza namna nzuri ya kuupeleka muziki wa Bongo Fleva Kimataifa kwa njia ya ushirikiano.
Anasema ukweli ni kwamba msanii mkubwa wa Kimataifa kwa sasa Afrika Mashariki ni Diamond Platnumz pekee.
Anaongeza kupitia ukubwa wake ana nafasi kubwa ya kuwashika mkono wasanii wengi ndani ya WCB na hata nje ya WCB kwenda Kimataifa.
Mfano mzuri tumeona kwa Jux alivyomtafutia Connection nje na kwenda naye kwenye baadhi ya Shows kubwa ikiwemo Trace Rwanda na hata Blu Club Dubai.
Kuna haja sasa amshike msanii mmoja pale WCB au Marioo amuonyeshe njia Kimataifa.