Burudani

RECAP: Lady Jaydee ametoa somo la ubora kwa Nandy – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia ngoma mpya ya Nandy ya NO STRESS na ngoma ya Lady Jaydee ya PO PO

Anasema ngoma hizi zimetoka wakati muafaka kwa sababu Nandy ndio msanii mkubwa kwa sasa na Lady Jaydee msanii bora wa muda wote.

El Mando anasema ameangalia ubora wa ngoma zao akagundua kuwa Lady Jaydee ana ubora mkubwa licha ya kuwa sio wakati wake ukilinganisha na Nandy.

Anasema ngoma ya Nandy ni Ishara tosha kwenye Ubora wa Kimuziki ameshuka togauti na zamani na anasema ngoma kubwa ya level za Nandy ilikuwa Daah na kidogo Totorimi.

Zingine zote za kawaida sio za kiushindani Kimataifa na hazina Ubora kwa Level ya Nandy.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents