Burudani
RECAP: Lavalava bila WCB atafanya vizuri, ubora wa muziki utambeba kama Mbosso – El Mando
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO ( @recap_mando)@el_mando_tz amezungumzia
Ujio wa Lavalava baada ya kuondoka WCB.
Anasema kuwa watu wengi wanasubiria Ujio wa Lavalava kama walivyokuwa wanasubiria ujio wa Mbosso baada ya kuondoka WCB.
Anasema zamani watu wengi walikuwa wanaamini msanii akiondoka WCB ni ngumu sana kufanya vizuri pasina kumuongekea vibaya Boss wake.
Mbosso amekuja kuthihirisha hilo amefanya vizuri bila kumuongelea vibaya Boss wake wana bila Kiki hata kutia huruma.
Lavalava ana nafasi hiyo maana Talent anayo chamsingi ni kuwekeza kwenye ubora wa muziki wake.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @johnbosco_mbanga





