Burudani

RECAP: MacVoice amshtaki Rayvanny Wizarani, mavazi yake alikosea – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kuhusu Msanii Mac Voice kupeleka malalamiko yake kwa Mhe. naibu Waziri Hamisi Mwinjuma alimaarufu Mwana Fa.

@el_mando_tz anasema wakati mwingine Mac Voice na timu yake waangalia mavazi ya kwenda kukutana na Mhe. Naibu Waziri hata kama wao ni wasanii.

Anaongeza Tatizo sio mavazi namna alivyokuwa anaongea na Mhe. Naibu Waziri na amepandisha Kofia ya Hood lake mpaka kuziba macho.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents