Burudani

RECAP: Mahusiano ya Harmonize & Kajala yapo kimkakati zaidi – El Mando

Harmonize na Kajala wamerudiana siku kadhaa zilizopita na mitandaoni kulikuwa na maneno mengi kuwa wawili hao hawajaonekana pamoja kwa muda mrefu.

@el_mando_tz anatusanua kila kitu juu ya mahusiano hayo ambayo yanazikutanisha brands hizo mbili kubwa Nchini Harmonize pamoja na Kajala

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents