Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
RECAP: Mapungufu EP ya Alikiba (Video)

Kupitia kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia EP mpya ya Alikiba ya Starter.
Anasema kuwa EP ya Alikiba ina Quality kubwa sana ya kimuziki na ni kwa sababu amechanganya Producer mbalimbali.
Anaongeza kuwa Wasanii wengi wakubwa wengi wanafanya kwa mazoea wakitegemea majina yao lakini kwa upande wa Alikiba amejiyahidi kwa upande wa Quality.
Alikiba hajaangalia muziki wa Biashara bali ameamua kuupa heshima muziki wa Bongo Fleva Tu.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa