Bongo5 ExclusivesBurudaniMichezoMuziki
RECAP: Marioo na Chino waige kwa Alikiba na Diamond (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sakata la Marioo na Chino ambapo Marioo alilalamika kuwekewa Sumu.
Anasema kuwa watu wengi wanasema ni Kiki ya nyimbo zao sio kweli, kama sio kweli wanajiharibia pakubwa sana kwenye upande wa kutengeneza heshima na uamini.
Kama ni kweli wana bifu basi walifanye kibiashara.
Unahisi Chino na Marioo wana bifu kweli au ni kiki??? Msikilize @el_mando_tz halafu toa maoni yako..!
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa