Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia sakata linaloendelea kati ya Marioo na Chino ambapo kunaonekana kuna ugomvi mkubwa unaendelea kati yao.
Chino ameweka wazi sababu z augomvi wao licha ya kuwa Marioo hajaongea chochote mpaka sasa kuhusu hicho kinachoendelea mitandaoni.
Ukweli ni Kwamba Marioo na Chino wamefanya kazi muda mrefu sana na wanajjuana vizuri.
@el_mando_tz leo katika uchambuzi wake amechambua kwa kina kuhusu ugomvi huo na kusema wote Marioo, Chino wanamakosa na pia katika ugomvi huo Abbah nna Jaivah wanahusika.