Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz
RECAP: Master Jay kuwalaumu Dj’s kuharibu Bongo Fleva sio sawa (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya Producer Master Jay akisema hawapendi DJ’s wa Tanzania kwa sababu wameiua Bongo Fleva.
Anasema kuwa Master Jay ameleta mdahalo ambao kila mtu yupo huru kutoa maoni yake kuhusu kauli yake hiyo na kusema amekosea kuwalaumu DJ’s.
@el_mando_tz anaongeza kuwa muziki wa Bongo Fleva haujawahi kuwa mkubwa Afrika mpaka kufikia hatua kuuliwa na DJ’s bali muziki wetu bado sana.
Inahitaji nguvu ya ziada kuupambani muziki wa Bongo Fleva uwe mkubwa maana uwekezaji bado sana wasanii wachache ndio wamewekeza vizuri na wengine bado sana.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.