Burudani

RECAP: Mbosso ameprove hakukosea kutoka WCB – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna EP ya Mbosso ilivyofanikiwa kwa asilimia kubwa.

Anasema hii ni kwa mara ya kwanza kwa Mbosso kulikamata na kulitingisha kidoho game la Bongo Fleva kupitia kazi zake bora alizotoa.

Anasema watu wengi waliamini Mbosso kakosea kutoka WCB lakini amekuja ku-prove kwamba alikuwa sahihi kuondoka WCB na wale waliokuwa na wasi wasi wauondoe sasa.

Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Cameraman @samirkakaa & @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents