Burudani
RECAP: Moni Centrozone amtolea uvivu Motra – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia DissTrack za Motra The Future ya Crown na Verse ya Moni Centrozone kwenye Tena na Tena ya Teria.
Anasema Moni na Motra wameonyesha uhai kwenye HipHop, kwa sasa HipHop ya Tanzania haina nguvu kwa sababu wasanii waoga kuingia Studio.
Inawezekana Wana HipHop Bongo hawana Content kwa sababu ubunifu umeisha kabisa kwenye Rap Music ya Tanzania na ndio maana Marapa hawana cha kuimba au cha ku-rap.
Kwa kiasi fulani ngoma za Ku-diss ndio huwa zinachangamsha game ya HipHop ya Tanzania, kuna haja ya Moni na Motra Kuungwa mkono.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @johnbosco_mbanga





