
Mkongwe kwenye game ya Muziki @mrbluebyser1988 anaelezea ugumu aliopitia kumpata @officialalikiba ili wafanye video ya mboga saba
Pia Mr Blue amegusia ni nani msanii anayemkubali zaidi kati ya marioo na Mbosso
@el_mando_tz kupitia #RecapNaMando anatupitisha katika stori hii
Full Interview ipo Youtube yetu – BongoFive





