BurudaniHabari

RECAP: Muziki wa Bonngo Fleva unamuhitaji Sallam Sk

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amemzungumzia @sallam_sk ambaye ni mdau mkubwa wa Bongo Fleva.

@el_mando_tz amezungumza kuwa anashangaa sana kuona mtu kama Sallam Sk ambaye ni mbobezi kwenye muziki wa Bongo Fleva hatumiwi na wasanii wa Bongo Fleva.

@el_mando_tz anaongeza kuwa Sallam Sk ni mtu sahihi kwenye soko la muziki wa Bongo Fleva na kama kuna msanii anataka kuwa mkubwa kimuziki kuna haja ya kumtumia Sallam Sk ili apeeke muziki wake nje ya mipaka ya Tanzania.

Anaongeza kuwa kwa uzoezfu wake hawezi kufanya kazi na msanii halafu huyo msanii asifike mbali.

Amewataja wasanii kama Harmonize, Rayvanny, Marioo, Abby Chams na wengine kuwa wazungumze Kibiashara na mendez.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents