Burudani
RECAP: Mwijaku & Ndaro ugomvi kujidhalilisha, Comedy imeshuka – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna Mwijaku na
Ndaro walivyoanza kubiashana mitandaoni.
Anasema Mwijaku alitoa maoni yake angetakiwa kujibiwa kwa fact na sio kudhalilishana mitandaoni kama ambavyo wanafanya kwa sasa.
Ukweli ni kwamba Comedy imeshuka sasa, Coy Mzungu inabidi aingie mtaani kutafuta wachekeshaji wapya.
Comedian wanachofanya ni kuvuka mipaka inabidi wamjibu Mwijaku kwa vitendo na sio wanachofanya mitandaoni.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa