Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari
RECAP: Nandy amepotea Kimataifa?? kwanini ameridhika
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Show tatu atakazofanya Harmonize nchini Canada.
Anasema kuwa lazima tuwe mstari wa mbele kuwasapoti wasanii wetu wanapopata show za Nje ya Nchi hasa bara la Ulaya na America.
Anaongeza show kama hizi ndio zinasababisha wasanii wetu wanakuwa wakubwa hivyo lazima wasapotiwe kwa sana.
@el_mando_tz anahoji juu ya msanii Nandy kwa upande wa kufanya muziki Kimataifa, anauliza tatizo nini mbona Nandy amepotea haraka sana Kimataifa??