RECAP: Nandy hana kosa Producer ame-sample Sober ya Marioo- El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz ameizungumzia ngoma ya Nandy na Jux hasa sakata la kutaka kufutwa Youtube.
Anasema kwanza nyimbo hizo mbili hazifanani kabisa labda Marioo angelalamika kuhusu wimbo wake wa Sober na Alikiba ila huyu anayemtishia Nandy anakosea.
Anasema nyimbo hazifanani kabisa na Nandy na Uongozi wake lazima wakae chini wajitafakari kwa sababu nyimbo 2 mfululizo zinafungiwa.
Kwanini kisa siku Nandy, Je wanaomzunguka wanamuingiza chaka?? Nyimbo mbili mfululizo zote anapata Claim na sio wasanii wengine.
Kwenye upande wa Ku-sample Beat Nandy hana kosa kama ni kweli wame-sample.
Producer anatakiwa kuwajibishwa kwa sababu anamuingizia hadara msanii.
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @johnbosco_mbanga






