Burudani
RECAP: Nani ataiwakilisha Tz kimataifa baada ya Diamond?? – El Mando

Msanii wa Tanzania @diamondplatnumz ametajwa na majarida tofauti kuwa ni mtu maarufu Tanzania.
@el_mando_tz kupitia #RecapNaMando anatuacha na swali Je, ni nani tutampa kijiti atutambukishe kimataifa kama Diamond ataamua akae pembeni na zoezi zima la muziki
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube – BongoFive





