AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RECAP: Penzi la Harmonize na Abby Chams lina faida kibiashara kwao – El mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia faida ya kibiashara kwenye mahusiano ya Harmonize na Abby Chams.

Katika mahusiano ambayo yana faida kibiashara kwa wote yaani Harmonize na Abby Chams ni haya ya awamu hii.

Anasema vipaji vyao ndio vitasababisha mahusiano yao yafuatiliwe sana kwani wana Chemistry nzuri Kimuziki.

Anasema kama Harmonize na Abby Chams wataandaa Project yoyote ya kimuziki kati yao basi wanaweza kuja kulikamata soko la muziki Afrika Mashariki.

Tofauti na mahusiano mengine ya Harmonize ambayo alikuwa anafaidisha wengine kwa kuwarudisha kwenye soko haya ya sasa kila mmoja atanufaika.

Exposure aliyonayo Abby Chams na uzoefu wa Harmonize kimuziki basi watafanya vizuri sana ndani ya nje ya Mipaka ya Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents