AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RECAP: Rayvanny ana mafanikio makubwa 2024 ila hayazungumzwi kwa ukubwa – El mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia wasanii waliofanya vizuri zaidi Kimataifa kwa mwaka 2024.

Anasema kuwa mbali ya Diamond Platnumz msanii mwingine kutoka Afrika Mashariki aliyefanya mambo makubwa kwa mwaka 2024 ni Rayvanny.

Mbali ya Kutajwa kwenye Tuzo ya GRAMMY Rayvanny amefanikiwa kufanya Shows kwenye Viwanja vikwambwa vya mpira mfano Albani na Angola kwa mwaka 2024.

Ukiacha hayo pia Rayvanny alifanikiwa kupata Ubalozi kwenye kampuni ya Perfume ya Marekani na alifanikiwa kufanya Tour mataifa kadhaa kama Ufaransa mpaka kuhudhuria Paris Fashion Week, alifanya Tour India, Afrika Kusini na mataifa mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents