Burudani
RECAP: Rayvanny kuperfom kombe la Dunia na Nora Fatehi?? – El Mando

Kupitia kipindi cha Recap na Mando @el_mando_tz amtolea mtazamo wake juu ya ukaribu wa @rayvanny na @norafatehi mbali na collabo waliyofanya @rayvanny anaonekana kuwa na nafasi ya kuperfom ndani ya kombe la Dunia kwa sababu @norafatehi ametangazwa tayari kuwa msanii atakaetumbuiza katika ufunguzi wa kombe la Dunia.
Iwapo msanii @norafatehi ataamua kumtumia @rayvanny kwenye uzinduzi huo basi Rayvanny atakuwa Msanii wa kwanza Afrika Mashariki kutumbuiza katika michuano hiyo mikubwa zaidi Dunia.
Je, unaiona nafasi ya Rayvanny kutumbuiza siku hiyo kama mtazamo wa @el_mando_tz??





