AfyaBongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariLifestyleMakalaMarimba Music ChartMichezoSiasaTechnologyTragedy

RECAP: Sallam Sk amchana El mando kisa Show ya Diamond na AY Dodoma (Video)

Meneja wa msanii Diamond Platnumz Sallam Sk amempa za Uso Mtangazaji wa kipindi cha RECAP & MANDO cha Bongofive El Mando kisa kusema Sallam Sk alikosea kumpa msanii wake afanye Show ya Bure Dodoma.

Baada ya Kauli hiyo Sallam Sk amekuja kwenye Comment na Kunadika haya:-

“Diamond aliperform na Fid Q, aliimba wimbo wa TID aliimba wimbo wa Marlaw acha kuongea pumba kwa kujudge kiclip kimoja ulichoona. Wewe thamani yako ipi bwege wewe mwandishi jukumu lake kujua source ya kila kitu kwanza kabla ya kuongea pumba”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents