Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Sean Paul alijibu swali bila kujua alichoulizwa?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amzengumzia kuhusu kauli ya Sean Paul ya kusema Hamjui Diamond.

Anasema kuwa watu wanapenda kukuza mambo madogo na kuyafanya yawe makubwa wakati lilikuwa suala dogo sana.

Anasema kuwa baada ya kusikiliza mahojiano ya Sean Paul na namna alivyojibu swali inaonekana kabisa Sean Paul hakuelewa swali aliloulizwa.

Uchambuzi wote upo katika akaunti tetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents