Burudani
RECAP: Simba walisusia mchezo makusudi kutoa Somo

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ametoa maoni yake kuhusu Sakata la Simba kugomea mechi yao na Yanga.
Anasema kwa upande wake anaona kuwa Simba hawajashindwa kucheza mechi ila wameamua kufanya makusudi kwa lengo la kutaka watu wasiohusika na mpira kupewa adhabu.
Walitajwa makomando wa Yanga, Je TFF inawatambua?? Kwanini wahusike kulinda Uwanja?? Waliluwa watu wa Yanga kweli au Wahuni??
TFF lazima itoe kauli kuhusu watu hao wanaoitwa Makomando wa Yanga huenda hata Yanga wenyewe hawajui chochote, silu wakijakuathiri afya za Wachezaji nani atawajibika??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.