Bongo5 ExclusivesBurudani
RECAP: Therapy ya Jay Melody Album bora mpaka sasa?? (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tukio la Jay Melody la kusherehekea Album yake ya Therapy.
Anasema kuwa mpaka sasa mwezi huu July kwa mwaka 2024 album ya Jay Melody Therapy ndio album bora sokoni kwenye kiwanda cha Bongo Fleva.
Anaongeza kuwa Jay Melody amefanikiwa kwa hilo kinachotakiwa kwake ni kufanya Promo ya Album kwa kuandaa Tour mikoani hata nje ya nchi.
Lakini pia ili msanii aendelee kujidhihirisha ukubwa wake lazima awe na uwezo wa kuandaa show yake mwenyewe, Jay Melody ndio anachokifanya kwa sasa.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??
Uchambuzi mzima upo katika YouTube ya Bongofive.