Burudani

RECAP: Ubuyu ya Alikiba haijafanya vizuri sababu hizi hapa – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz anasema sio ngoma ya Alikiba tu ya Ubuyu ambayo haijafanya vizuri bali ngoma nyingi sana hazijafanya vizuri.

Anasema kuna mjadala ulikuwa unaendelea kuwa ngoma ya Ubuyu ya Alikiba haijafanya vizuri tangu itoke, @el_mando_tz ametoa sababu zake ngoma hiyo kutokufa ya vizuri.

Anaongeza kuwa sio ngoma hiyo bali ngoma za wasanii wengi sana hazijafanya vizuri kasoro wasanii wawili tu ambao ni Mbosso na Marioo ambao nyimbo zao zomepata Airtime zaidi.

Anasema kwa sasa kuna wimbo limetokea wasanii na Maproducer wanatoa ngoma zina Quality ya chini sana sio kama muda wa nyuma.

Anasema kabla ya mtu kusema Ubuyu haijafanya vizuri atutajie ngoma ipi imefanya vizuri ukiwatoa Mbosso na Marioo na ukizingatia karibia kila msanii katoa wimbo

Uchanbuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

Cameraman @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents