BurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Ukaribi wa Diamond na Ibraah sio wakumkomoa Harmonize – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz amezungumzia ukaribu wa Diamond na Ibraah aliyekuwa msanii wa Harmonize.

Anasema kuwa watu wengi mitandaoni wanajaribu kusema ni kama wanamkomoa Harmonize, El mando anasema hilo haamini kama ni kweli.

Anasema anavyojua yeye Diamond anapenda sana kusaidia wasanii wenzake na inawezekana amemuunganishia Ibraah dili fulani au kamsaidia sehemu fulani.

Uchanbuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Caneraman @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents