Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

RECAP: Unahisi kwanini Alikiba alipiga show kali?? aliwazidi wengine wapi??

Kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Show za baadhi ya wasanii zilizofanyika siku ya Utoaji Tuzo za TMA.

Anasema kuwa Alikiba kwa mara nyingine tena alitoa somo la namna ya Ufanaywaji wa Show za Live na huenda Tasnia ikapata sifa maana tukio lilikuwa linaonekana duniani kote.

Anasema wasanii wengine inaonekana kama hawakujiandaa vizuri au hawakufanya Rehasal za Show zao na ndio maana kulikuwa na delay ya muda sana.

Hilo tukuo lilikuwa kwa ajili ya kujitangaza Kimataifa zaidi na msanii aliyekuwa serious na Show yake ndio ataonekana amefanya vizuri zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents