BurudaniHabari

RECAP: Unahisi kwanini wasanii wengi Tanzania hawawezi kuandaa show zao wenyewe??

Kupitia kwenye kipindi chake Pendwa cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amzungumza kwa namna gani wasanii wengi Tanzania hawana mvuto kibiashara.

Ameongeza kuwa ni ngumu sana kupima ukubwa wa msanii Tanzania kuputia Viewers tu wa YouTube. Asilimia kubwa ya wasanii Tanzania hawana uwezo wa kuandaa show zao wenyewe.
Wengi wao wanasubiri Matamasha tu, kwa ukubwa ameeleza namna msanii anavyoshuka thamani na kukosa mvuto kibiashara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents