BurudaniHabari

RECAP: Usher amekosea kumkubatia kimahaba Alicia Keys??

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Show ya mkali wa RnB Marekani @usher kwenye fainali za Super Bowl.

@el_mando_tz anasema inawezekana show inayofanyika kwenye mchezohuo ndio ikawa ahow bora zaidi kwa maandalizi yake.

Anaongeza hiyo ndio sehemu pekee ambayo msanii akialikwa basi hutoa kila alichonacho kuonyesha ubora wake.

Amezungumzia pia tukio la Usher kumkumbatia kimahaba Alicia Keys mbele ya mume wake ambapo watu wengi wamemkejeli Mume wa Alicia Keys Swizz beats.

Unahisi ni sawa kwa alivyofanya Usher kwa Alicia Keys??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents