EventsHabari

RECAP: Vijana tusipende vya Bure – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia tukio la Muimbaji wa Injili Goodluck Gozbert kuchoma moto gari alilopewa na Mtumishi Geordevi.

Anasema kuwa watu wengi wanamlaumu sana Goodluck lakini kupitia tukio hili lazima vijana tujifunze jambo na tusipuuzie.

Anasema jambo la kujifunza ni kwamba vijana tusipende vitu vya bure ambavyo hatujavitolea jesho letu, tupambane tuache vya bure.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents