Michezo
RECAP: Waliosaidiwa na Mkubwa Fella hawapokei simu zake – El Mando

@el_mando_tz ndani ya #Recap anamzungumzia mkubwa Fella ambaye alikua mbele kwa ajii ya kusimamia na kupambania brands za wasanii ambao ni wakubwa kwa sasa lakini wengi hawamkumbuki wala kumsaidia licha ya familia yake kufanya jitihada za kuomba msaada.
Kwa alichokifanya mkubwa Fella kwa wasanii unaowafahamu, unafikiri ni msanii gani ambaye angekua wa kwanza kumsaidia mkubwa Fella?
Tayari Kipindi cha RECAP & MANDO kipo YouTube ya Bongofive




