Burudani

RECAP :Wasanii wa Seven Mosha waliosainiwa Sony wameshuka Kimuziki, kazi hakuna – (Video)

Bongofive kupitia chake cha RECAP & MANDO El_mando amezungumzia ujio wa Tuzo za TMA ambazo zina mabadiliko makubwa sana.

El_mando amepongeza waliohusika kuzileta Tuzo hizi ambapo wameshirikiana na MTV pamoja na BET na wameeleza kuwaitíes wasanii 6 ambao ni washindi watajumuika kwenye matukio ya BET ikiwemo Pre Party na mengine.

Jambo hilo ni fursa nourri kwa wasanii wetu kujifunza mengi na kukutana na wasanii wakubwa Duniani.

El_Mando pia amehoji kwa Seven Mosha ambaye ni muwakilishi wa Sony Music kwa upande wa Afrika Mashariki ambao wamewasaini Aslay, Abby Chams na Young Lunya.

El_Mando amehoji wasanii hao wapo Sony mwaka wa pili sasa lakini hatuna mabadiliko yoyote kimuziki.

Anauliza kwanini walisainiwa Sony na kazi hazifanyiki?? Na kama kazi zinafanyika mbona hakuna mabadiliko??

Aslay, Abby Chams na Young Lunya baada ya kusainiwa Sony mabadiliko gani umeyaona ya Kimuziki??

 

 

 

 

Kwa uchambuzi bonyeza Tembelea ukuras wa Bongofive Youtube:

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents