BurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Wasanii wanaopewa Collabo na Diamond & Alikiba kuridhika, Barnaba kajiongeza – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Your ya Barnaba katika mikoa 17 nchini.

Barnaba ameamua kufanya Your kwa ajili ya wimbo wake wa

SALAMA na anasema, asilimia kubwa ya wasanii wanaopewa collabo na Diamond au Alikiba huridhika na kuhisi wamemaliza kila kitu.

Wanasahau kuwa bado kuna kazi kubwa ya kufanya mfano Promo, kwenye hili Barnaba amejipngeza maana ameamua kuandaa Tour kwa ajili ya Salama.

Hapo msanii ataona matunda ya kufanya collabo na msanii kama Diamond, vinginevyo utaendelea ku-trend na hakuna unachonufaika.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

 

 

 

 

 

 

 

Cameraman@samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents