BurudaniDiamond Platnumz

RECAP: Washindani wa Diamond ni kina Wizkid & Burnaboy – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha @recap_mando @el_mando_tz ameizungumzia kauli ya msanii Diamond ya kuwa Mwezi October ni mwezi wa mashabiki wake ku-enjoy

muziki wake.

@el_mando_tz anasema Diamond kwa sasa sio msanii wa

Bongo Fleva au msanii wa Tanzania bali ni msanii wa dunia

nzima.

Hata Ujumbe wake angetakiwa kuandika katika Lugha ambayo itaeleweka kwa mashabiki wake wa ndani na nje ya

Tanzania.

Hata anapofanya muziki anatakiwa alenge soko la wakubwa wenzake sio soko la ndani tena, anatakiwa kulenga soko la kushidana na akina Burna boy, Wizkid maana ndani atakuwa

anawaonea tu wenzake.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya bongo5.

 

 

Cameraman @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents