Burudani
RECAP: Washindaniwa Diamond TZ awaoni aibu kimataifa wamelala – El Mando

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia namna Diamond anavyotikisa Kimataifa kwa sasa kupata Shows.
Anasema ukweli ni kwamba tunakosea sana kumshindanisha Diamond na wasanii wa Tanzania ambao wamelala usingizi linapokuja suala la biashara ya muziki Kimataifa.
Anaongeza Wasanii wetu hawaoni Aibu kila siku mwenzao anatajwa Kimataifa na kufanya Collabo wao wametulia tu, wanajiaikiaje kiukweli??
Hata aibu hawaoni?? Wanafurahia au wanachukia?? Angalau Diamond kumtengeneza Jux na ameanza kuwa mkubwa Kimataifa ila wengine wameridhika kabisa, hakuna movement yoyote wanaifanya.
Lazima tuwe msitari wa mbele kuwakumbusha.
Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman @samirkakaa