Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzMuziki

RECAP: Zuchu wamemuonea tu, haikutakiwa kuwa hivi(Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amzungumzia ngoma mpya ya Zuchu ya ANTENNA.

Anasema kuwa Zuchu ni msanii pekee wa kike kwa sasa ambaye ana muendelezo mzuri kimuziki tangu alipotangazwa WCB.

Anaongeza kuwa Zuchu alistahili tuzo ya msanii bora wa kike kwa mwaka 2023 na ameshangaa kwanini hakupata Tuzo hiyo na badala yake alipewa Nandy.

Anasema kuwa kwa mwaka 2023 Zuchu alifanya mambo makubwa sana kimuziki kuliko Nandy na pia alipanda majukwaa makubwa zaidi kuliko Nandy.

Kwa namna ya ufanyaji wake wa kimuziki na namna anavyotengeneza Numbers na nyimbo zake kupendwa zaidi mtaani na alifanya vizuri zaidi.

Anasema kuwa Nandy sio kwamba ni msanii mbaya ila kwa mwaka 2023 alizidiwa na Zuchu.

Msikilize @el_mando_tz kisa toa maoni yako hapa chini.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents