Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniDiamond PlatnumzMuziki

RECAP:Album ya Marioo ni ya Kimataifa zaidi (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia Album ijayo ya Marioo ya THE GODSON ambayo itatoka November 28, mwaka 2024.

Amezungumzia ngoma zilizopo humu ambapo kuna collabo 10 kwa wasanii wa nje na wasanii wa Ndani, wasanii wa ndani kuna Alikiba, Harmonize, Aslay na Stans.

Kimataifa kuna King Promisi kutoka Ghana, Kenny Sol, Bien kutoka Kenya, Baraka Joshua wa Uganda, Patoranking Nigeria na Eleeeh Rwanda.

Hii inaeleta picha kuwa Marioo amelenga zaidi Soko la Kimataifa kwenye muziki licha ya kuwa nyimbo bado hazijatoka.

@el_mando_tz anasema Album hii ndio itafungua Milango ya Marioo Kimataifa endapo atawekeza kwenye Promo zaidi.

Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi??

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive.

 

 

Cameraman & Editor @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents